Good design n everything is superhabNaomba kufaamishwa, kwa yeyote anajua kampuni iliyo design ramada resort ya jangwani beach
Aliye-design kivip kuwa specific!, ni archectural design ama structural design? Nn unamaanisha
Mara nyingi sisihuku kudesign nyumba anayefahamika ni msanifu majengo ,mambo ya structural design tunahusisha na mambo ya uzito wa zege,idadi ya nondo ,mashimo n,k kwa muonekano wa jengo mara nyingi tunataka kujua msanifu majengoAliye-design kivip kuwa specific!, ni archectural design ama structural design? Nn unamaanisha
Ngoja Lukuvi avurugwe hukoIpo ndani ya mita 60 kutoka ukingo wa bahari
Dar es salaam mkuu.Ipo wap hy
Wekeni hata kapicha jamani na sisi wa huku madongo kuliwa na mchwa tuone hiyo "superb design"Good design n everything is superhab