Habari zenu hao TCU hawajafungua hiyo third round kama walivyokua wanasema?naombeni majibu coz hata hao wengine wanapata shida kuona vyuo walivyochaguliwa sijui hii nchi ikoje watu hadi wanavunjika moyo wakusoma naombeni jibu wana JF
Yeah inawezekana n
Mfano MUM unapiga sim ukiwa home w
Unawatumia details zako zote bure,, na mwaka huu wanatoa mkopo kwa waliokosa mkopo toka loan board ,,, kama vipi nicheck kwa 0672385724 nikufahamishe zaid
Nadhani kutokana na mfumo huu Wa CAS hata private huwezi kudahiliwa bila kupitia huko.
Kwa ninavyoona kunamikanganyiko Mingi sana Kwa sasa hawa utaratibu na mipangilio ya elimu. Maamuzi yanayofanywa yanalengo zuri kila namba ya kuendea utaratibu ndo mtihani.
Waliopewa dhamana ya kusimamia hapana meno ya kuamua jambo mpaka viongozi wakuu Wa kiserikali na kisiasa watoe maelekezo. Na ilivyo hakuna aliyetayari kuamua jambo hata Kwa utashi mpaka aulize huko juu, hii inapelekea ucheleweshaji Wa maamuzi, na inadumaza ufikiri Wa watendaji.