Naomba kufahamishwa, Je ubora, ufaninisi na uwezo wa tablets za techno ukoje? (samsung yangu imechukuliwa na mtu, na sina pesa ya kununua nyingine wiki hii, ndo maana nataka nijishikize na techo) bei zikoje ?

nimetumia p9 kwa takribani miezi 9 sasa .. mapungufu niliyoyaona .. .. ilikuwa inaji restart endapo umefungua applications nyingi kwa wakati mmoja. tatizo hilo liliisha baada ya kufanya rooting na sijawahi kuona imeji restart yenyewe.