diannajohn
Member
- Nov 13, 2016
- 76
- 8
Naomba kuuliza shortlist ya majina walioomba kazi TPA na NHIF bado hawajatoa?
Hahahaha kazi sanaNHIF hii ya juzi au ikoje? Mbna una haraka sana jombaaa.Au ni NHIF ya pale KOLO MAIJE?? in gwajima voice"usilitikise dude"