Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
Hili haliwezekani kwanza halina msingi. Kama upo kwenye eneo lenye wifi, na una vifaa vyenye wifi. Kwanini hiyo wifi  ipitie kwenye simu kwanza halafu tena ndio simu ifanye broadcast?
Kwanini hizo devices zisidake hiyo wifi moja kwa moja?
NI SAWA NA KUVAA MIWANI MCHANA, THEN UTUMIE TOCHI ILI KUONA.
ndio maana nimesema hili swala halina msingi, hata hiyo connectify inaShare wifi kutokea kwenye ethenet, na sio WIFI to WIFI. hata kwenye computer ya kawaida yenye wifi, inawezekana kushare kutoka kwenye ethenet au modem.
Inawezeka, ila kuna disadvantanges nyingi kama interference kwenye network(physical layer)->(kama device inatumia hardware moja kama emitter au receiver)
na pia matumizi ya umeme yataongezeka. thats y nafikir android wamehamua ku-disable feature hiyo. Ki-makert zaidi wewe kama mtumiaji wa simu, utapendelea simu ambayo inakaa na charge zaidi kuliko ambayo .......
kwa baadhi ya Nokia, kitu kama hicho kinawezeka, mfano Nokia yangu E72 inasupport
simu za symbian zina adhoc hazina wifi acess point hivyo huwezi ukafanya anachosema jamaa.
U are 100% WRONG.
kwa ushahidi na kuepuka mabishana yasio na msingi.
picha zifuatazo zinaonyesha nikifanya kama jamaa anavyosema nikitumia E72
Picha ya pili ki-icon kidogo kwa chini katikati ,kinaonyesha nikitumia wifi at the same time natumia app ya joikusport Kufanya-tethering
ndio ni adhoc sasa, unafkiri kila kifaa kinasuport adhoc? mfano mzuri tafuta simu ya android halafu tengeneza joikuspot yako uone kama simu ya android itaiona hio wifi.
so unachofanya wewe unachukua wifi(acess point) unaibadili na kuwa wifi (adhoc) na kuirusha. unaporusha wifi kwa adhoc unakuwa limited sana mimi nimetumia symbian sana naifahamu vizuri hii limitation kuna vifaa kibao havisupport hio mode.
huko sahihi mkuu
U are 100% WRONG.
kwa ushahidi na kuepuka mabishana yasio na msingi.
picha zifuatazo zinaonyesha nikifanya kama jamaa anavyosema nikitumia E72
Picha ya pili ki-icon kidogo kwa chini katikati ,kinaonyesha nikitumia wifi at the same time natumia app ya joikusport Kufanya-tethering
Symbian to PC = Yes
Symbian to Android = Never exist.
Nimetumia sana hiyo Joikuspot premium na booster yake na haikuweza kushare na android, nakuitumia device ya symbian kama hotspot nikuua betri tu.