Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,693 Oct 16, 2011 #1 Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani?
Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani?
kyangara Member Joined Nov 10, 2010 Posts 86 Reaction score 8 Oct 16, 2011 #2 Kimbweka said: Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani? Click to expand... Ni TSH 5000 na VAT asilimia 18 ya hiyo buku tano so ni kama buku sita kasoro kidogo Mkuu!
Kimbweka said: Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani? Click to expand... Ni TSH 5000 na VAT asilimia 18 ya hiyo buku tano so ni kama buku sita kasoro kidogo Mkuu!
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,693 Oct 16, 2011 Thread starter #3 Thankx mkuu
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,656 Oct 17, 2011 #4 Kimbweka said: Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani? Click to expand... Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure
Kimbweka said: Habarini wandugu Naomba kwa anayefahamu,kuchukua fomu ya kuomba kuvuta umeme wa tanesco kwenye nyumba ni bei gani? Click to expand... Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure
kyangara Member Joined Nov 10, 2010 Posts 86 Reaction score 8 Oct 17, 2011 #5 ndyoko said: Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure Click to expand... Mkuu alichoomba kujulishwa mtoa mada ni gharama za kuchukua fomu ya maombi ya umeme na c gharama za kuingiza umeme. Fomu ya maombi ni bei moja kama nilivyoainisha hapo juu bila kujali unahitaji nguzo nyingi au hauhitaji kabisa. Nawasilisha!
ndyoko said: Nenda Tanesco kwenyewe ili upate jibu la uhakika, isije ikawa unahtaji minguzo mingi hapa utaishia kupewa data hafifu bure Click to expand... Mkuu alichoomba kujulishwa mtoa mada ni gharama za kuchukua fomu ya maombi ya umeme na c gharama za kuingiza umeme. Fomu ya maombi ni bei moja kama nilivyoainisha hapo juu bila kujali unahitaji nguzo nyingi au hauhitaji kabisa. Nawasilisha!