Naomba kufahamishwa zilipo ofisi kuu za ACT Wazalendo

kanali mstaafu

JF-Expert Member
May 17, 2015
4,318
4,098
Habari zenu wanajukwaa? Naomba kuuliza zilipo ofisi za makao makuu ya Chama cha ACT WAZALENDO Taifa
 
Ndiyo chama makini kilichobaki. Vingine ni zoazoa makapi ya CCM
Ni vigumu kwa mpiga deal yeyote kujiunga na ACT kwani ni chama kwa ajili ya uzalendo na siyo unafuu wa matumbo binafsi.
 
Panda gari za makumbusho shuka makumbusho au sayans kama umetoka upande wa Mwenge au sinza then ulizia kanisa la kijitonyama kabla ya kona ya kuingia kanisani ndipo office zilipo
 
Back
Top Bottom