Hivi lile jengo lililobaki na ufa pale mtaa wa Indira Ghandi tuliloambiwa litabomolewa baada ya kuporomoka kwa lile la ghorofa 16 na kuua Watanzania zaidi ya 30 ...hili sakata liliishia wapi?
Nawasilisha..
Mambo mengine si lazima ulete jf kamuulize waziri TIBAIJUKA pale ofisini pake au ktk mikutano ya kisiasa anayohudhuria.Hivi lile jengo lililobaki na ufa pale mtaa wa Indira Ghandi tuliloambiwa litabomolewa baada ya kuporomoka kwa lile la ghorofa 16 na kuua Watanzania zaidi ya 30 ...hili sakata liliishia wapi?