Naomba kufahamishwa kuhusu Bachelor of Arts in Economics

josegudy

New Member
Apr 25, 2017
2
0
Naomba kuuliza kuhusu mtu aliyesoma Bachelor of art in economics ,kazi anazofanya na wapi n.a. wapi anaapply na vip kuhusu soko la ajira katika kozi Hiyo ?
 
kiukweli wengi ninowafahamu walienda kufanya kazi kwenye mambo ya research ..ila siku izi hadi bank wapo
 
Ni kozi nzuri saana.

Unaweza kufanya kazi banks, na taasisi nyingine za mipango,fedha, insurance,tra

Swala la ajira linategemea kujichanganya kwako na ufaulu wako.

Na chuo ulichosoma. Nenda kasome udsm. Ba economics inatolewa pale.
 
Napenda Economics...ni cross cutting discipline yafaa maeneo mengi kasoro udokta, na engineering...sehemu nyingi ukisoma vema unafanya kazi..nilisoma hiyo ila kwa mchanganyo, ila yenyeww ni major...waweza kuwa researcher, Afisa mikopo, meneja, m&e officer, mtendaji wa Kata, mchumi msaidizi halmashsuri, msaidizi takwimu, mwalimu, operation manager wa bank na kampuni zingine, nk nk nk.
 
Ualimu!!!!!!!
 
Back
Top Bottom