Kama applications zitakuwa moja kwa moja chuo (kama inavyotegemewa) nafikiri unaweza kuomba tu. Kama wataendelea na CAS itabidi uwasiliane na TCU wajue lililo kutokea kwani ukiingiza jina CAS itaonyesha wewe tayari ni mwanafunzi. Kama uko karibu na TCU unaweza kuwaona kwa maelekezo zaidi.