Mkuu hapa umeandika kwa maandishi mimi nimekuelewa, zipo lugha ambazo machine kama simu ama computer inaelewa.Habarini za asubuhi wanajamvi,
kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya mpesa, kwenye profile picha ya contact nk.
Sasa neno hili limekuwa gumu kidogo kwangu kulielewa ...kwaiyo kwa faida na ya wadau wengine ambao hawana ufaham kama mimi mwenye uelewa nalo tunaomba atufahamishe nn maana ya QR CODE na pia nini matumizi ya hili neno na wanaposema scan tunawezaje ku scan kwa mfano simu haina app ya ku scan?
Asanten sana wadau naomba kuwasilisha....! Chief mkwawa kama upo jukwaan tupe msaada kaka
Bado hajapata muongozo๐คฃ๐คฃ..Natumae mleta mada umepata muongozo...
Hivi haiwezekani hiyo picha nikaiscan Kwa simu yangu mwenyewe bila kutegemea simu nyingine ije kusacan?Mkuu hapa umeandika kwa maandishi mimi nimekuelewa, zipo lugha ambazo machine kama simu ama computer inaelewa.
Qr code zenyewe ni code ambazo zinajumuisha vibox vyeusi na vyeupe ambavyo machine inaelewa. Inaweza kuwa maandishi, jina website na mambo mengi tu.
Tuchukulie mfano hio mpesa, shirika la serikali linaweza tengeneza qr code yake, wakati wa kulipia baada ya kuhangaika kubonyeza bonyeza na kuweka controll no ukascan tu qr kodi yao na kulipa.
Mfano hii qr code unaweza kuscan na kuniambia kuna nini ndani
View attachment 1953641
Kuscan nenda playstore search qr code reader download app yake kisha fungua hio picha na simu ama kifaa chengine kisha scan.
QR CODE NI NINI?Habarini za asubuhi wanajamvi,
kama chichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza....mara kwa mara nimekuwa nikiingia baadhi ya app kwenye sim huwa nakutana na neno scan QR CODE mfano kwenye app ya mpesa, kwenye profile picha ya contact nk.
Sasa neno hili limekuwa gumu kidogo kwangu kulielewa ...kwaiyo kwa faida na ya wadau wengine ambao hawana ufaham kama mimi mwenye uelewa nalo tunaomba atufahamishe nn maana ya QR CODE na pia nini matumizi ya hili neno na wanaposema scan tunawezaje ku scan kwa mfano simu haina app ya ku scan?
Asanten sana wadau naomba kuwasilisha....! Chief mkwawa kama upo jukwaan tupe msaada kaka
Unaweza karibia app zote za kuscan zina uwezo wa kuchagua imageHivi haiwezekani hiyo picha nikaiscan Kwa simu yangu mwenyewe bila kutegemea simu nyingine ije kusacan?
Mfano sina simu ya ziada zaidi ya hii nayotumia,na nataka kujua hiyo QR code inahusu nini