Naomba kuelimishwa juu ya GS1 TZ

Naomba kuelimishwa juu ya GS1 TZ

Kalu20

Senior Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
191
Reaction score
100
Wadau salamu.
Naomba kuelimishwa juu ya GS1 TZ na kwann inatoa huduma zake ( Barcode) kwa gharama kubwa kuliko GS1 Kenya!
 
Na simu zao walizoweka kwenye website hazipokelewi hata ukipiga mwaka mzima
Pia gharama zao siyo rafiki kwa mjasiriamali.
 
Back
Top Bottom