Naomba kueleweshwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kueleweshwa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kabakabana, Jan 27, 2012.

 1. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Niko hapa stendi ya arusha ndani ya mabasi yanayoelekea moshi.Kuna hawa wauzaji wa vitu vidogo vidogo wanapenda kweli kuja madirishani kuadvertise biashara zao.
  Mmoja anauza miwani,na akawa anamwelezea baba aliekaa mbele yangu kuwa zina lenzi na ukivaa unaweza kuona wengewenge.Huyu baba kainunua kwa 5000 ilikuwa inauzwa 7000.Nimeshindwa kuelewa kabisa inakuwaje mtu unanunua miwani yenye lenzi ambayo hujaelekezwa na doctor au hii imekaaje?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  he he, ukishangaa ya Musa wii utaona ya firauni.

  Soko huria limefanya tumekuwa na miili huria.
   
 3. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  upo katika machame express nini?....huyo baba anataka kuona wenge kama alivyoelezwa na huyo bingwa!
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahaha na kweli hii ni miili huria lol mzee wa watu keshaitundika machoni natamani kumuuliza anaonaje baada ya kuivaa ila ana sura ya ubandindu
   
 5. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hahahahahaha itakuwa ni kweli aisee,si angevuta cha arachuga tu?
   
 6. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,540
  Likes Received: 422
  Trophy Points: 180
  hahahahahahahaha
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  usijaribu kumuuliza.

  Labda hapo ana hasira kanunua ili amwone mdeni au mgoni wake vizuri.
  Atarusha ngumi za uso.

   
 8. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hehehe ntawahi basi nimekausha kimya namshangaa tu yani hata simpatii jibu.
   
 9. pinkmousse

  pinkmousse JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahaaaaa! nimecheka mpaka machozi yametoka!
   
 10. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  huyo mzee lazima atakuwa ni mgema ulimbo tu.Nalog off
   
 11. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,797
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kujifunza kutokana na makosa sio mbaya, ngoja kesho jua liwake alafu aitandike ndio atakapoonja joto la jiwe, atasaidia kuwaelimisha wajukuu wake wasinunue miwani maeneo ya stand.
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Jan 27, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Umesikia wapi Miwani yenye Lens inauzwa 5000? Babu kalizwa huyo!
   
 13. M

  Madodi Senior Member

  #13
  Jan 27, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 181
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  mjin shule
   
Loading...