Naomba kueleweshwa kuhusu yafuatayo

Naomba kueleweshwa kuhusu yafuatayo

Obby18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
212
Reaction score
172
Salam wakuu.

Niliaply vyuo viwili second round ambavyo ni DIT na MUST. MUST walinijibu mapema sana kuwa nimechaguliw lakini DIT wamechelewa sana wamenijibu juzi kuwa nimechaguliwa lakini Inatakiwa niweke code nikonfirm.sasa naomben mnieleweshe yafuatayo wakuu.
1) nikikonfirm DIT inamaana MUST watanicancel au hawatocancel na itaonekana nipo kwenye vyuo vyote viwili, kumbuka MUST sijadaiwa code wao wamenichagua moja kwa moja kama vile niliaply chuo hicho tu kumbe siyo niliaply sehemu mbili.

2)Hii hali haitaleta mkanganyiko bodi ya mkopo kama nitakonfirm DIT??

3)Na nisipo confirm inamaanisha nitaenda MUST au??

Interest yangu ilikuwa DIT

All in all TCU achaneni na hii system inatucost sana aisee
 
Ukiona hivyo upo kwenye multiple selection

Hata huko MUST yakubidi ukomfirm

Kwa hiyo confirm DIT
 
Ata mimi nina case kama yako chuo cha kwanza hakuna code ila chuo cha pili ndo kunasehemu ya kuweka code nikiconfirm chuo cha pili code inakataa
 
Back
Top Bottom