Naomba kueleweshwa juu ya 2/3 ktk bmk..:

iconman

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
28
Reaction score
13
Kwa wale wataalam wa mambo ya siasa na sheria hivi endapo kama ukawa hawatarudi kupiga kula bungeni je 2/3 ya upande wa Zanzibar itapatikana maana namsikia 6 anasema itapatikana tu hata ukawa wasiporudi je hi ikoje hapo.
 
Kama mpaka leo hujaelewa kuwa inapatika haupo miongoni mwa watanzania katiba inapaikana bila shida.
 
Back
Top Bottom