Naomba kuelekezwa namna ya ku update window 10

Brown Mduma

Senior Member
Joined
Sep 29, 2020
Posts
187
Reaction score
310
Wakuu nimejaribu ku update window 10 kwenye pc yangu bila mafanikio...... saiv siwez hata kuinstall app[emoji27]
 
Kuna njia tatu za kufanya update window Yako
1) njia ya device manager hii ni njia ambayo unatumia kuchagua ni kitu Gani unatkaa kufanya update kwenye kompyuta Yako Yani unachagua ni program ipi uifanyie update

Ukitaka kuipata hii njia Fanya Hivi ingia sehemu ya search andika device manager au right clock kwenye ikoni ya window Kisha tafuta Device manager utaziona driver zako zote ukitaka kufanya update chagua Driver unayotaka right click bonyeza update automatically hakikisha una bando

2) njia ya pili ni kutumia setting bonyeza window button + i au ingia setting kwenye kompyuta Yako Kisha shuka chin utaona window update fungua Kisha bonyeza update hapo itakua inafanya update drivers zote haichagui ni automatically

3) njia ya mwisho ni kutumia software mbalimbali Kuna software za online pia offline za kufanya update za window au driver zako tafuta Kama driver pack solution , Driver update , nk
 
shukuran mkuu ngoja nijaribu nione
 
Kagua toleo la Win 10 LS yako, kuna matolea mengine hayakubali Update hadi ufanye Upgrade. Asante!!
 
Back
Top Bottom