The noble one
Member
- Jul 18, 2017
- 12
- 1
Eti wadau kozi ya communication system inahusu nini kiufupi . .ajira zake ni wapi haswa? hata mshahara wake. .. Kwa diploma
Inatolewa na chuo gani?Mbn hamjibu
Nilivyoiona nikajua inafanana na IT kumbe kuna diploma ya IT, Nikajua inafanana na TELE kumbe kuna diploma ya TELE!! Nnavyoona itakua inbetween maana nimeangalia hata prospectus hawana online!!Good inahusu nn haswa
Nilivyoiona nikajua inafanana na IT kumbe kuna diploma ya IT, Nikajua inafanana na TELE kumbe kuna diploma ya TELE!! Nnavyoona itakua inbetween maana nimeangalia hata prospectus hawana online!!
Yaani utakua unasoma mambo ya IT, TELECOMMUNICATION na ELECTRONICS..
Hapo sijakuelewa mkuu, certificate ya kozi nyingi gani??Mkuu unaweza ukawa na cerficate ya coarse nyingi afu ukaapply diploma ya tele?
Hapo sijakuelewa mkuu, certificate ya kozi nyingi gani??
Kama ni ni certificate ya kozi ya sayansi au inayohusiana na hesabu au kompyuta, inawezekana!!Nyingine.. Typing error