Naomba kuelekezwa kuhusu Bachelor ya mechanical Engineering DIT

Backlash

New Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Aisee wana Jf msaada plz kuhusu hii bachelor ya Mechanical Engineering hapo DIT...
 
njoo tu mkuu ila kama umetokea six ukakaze sana mana six wengi wanarud nyumban wanaomaintain weng n WA diploma
course IPO poa DIT ila uje na msuli WA kutosha kudisco n kugusa tu
 
thanx... mxul kama kawa... vp kuhusu mazngra mkuu...
 
Back
Top Bottom