NAOMBA KAZI

NAOMBA KAZI

m2peace

Member
Joined
Jul 5, 2024
Posts
7
Reaction score
19
Me naitwa calvin
Nina miaka 21
Nina elimu ya chuo kwa ngazi ya certificate (ugavi)
Nina lesen daraja A na D
Kwa sasa nipo gereji kama fundi umeme wa magari
NAOMBENI KAZI YOYOTE
 
Me naitwa calvin
Nina miaka 21
Nina elimu ya chuo kwa ngazi ya certificate (ugavi)
Nina lesen daraja A na D
Kwa sasa nipo gereji kama fundi umeme wa magari
NAOMBENI KAZI YOYOTE
Hiyo kazi ya ufundi umeme wa magari ukiizingatia na kujifunza zaidi soon utaanza kupiga hela balaa. Jiendeleze kwenye eneo hilo utakuja kunishukuru.
 
Me naitwa calvin
Nina miaka 21
Nina elimu ya chuo kwa ngazi ya certificate (ugavi)
Nina lesen daraja A na D
Kwa sasa nipo gereji kama fundi umeme wa magari
NAOMBENI KAZI YOYOTE
Hamuaminiki ni matapeli na wezi kama hu yo Kababrah,Aman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom