Naomba kazi ya udereva

James 25th

Member
Joined
Feb 24, 2025
Posts
41
Reaction score
19
Habari ya wakati Huu ndugu WanajamiiForums.

Kwamajina naitwa JOSHUA JAMES, mwenye ujuzi wa udereva kwazaidi ya miaka mitano nikifanya kazi ndani ya mkoa ba nje ya mkoa wa deresalaam

Ujuzi ,

1: Ninazo wakuendesha gari aina zote ndogo Yani Automatic na manua cars, pia ninautaalam wa hugundizi wa matatizo kwenye gari.

2: matumizi ta rugha ya kiswahili na kingereza,

Kwa mtu binafsi au office inayohitaji dereva nipo teali kufanya nayo kazi kwa makubaliano, pia kwa wale wa part time pia tunaweza kufanya kazi pamoja.

Mawasiliano
0627776134
Location: Airport, Dar es salaam Tanzania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…