Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,465
- 2,284
Dereva boda watamu jamn ila kwa umbea ndo basi tenaa,Life can humble you. Hili ndo limenitokea
Wakuu nimekuja kwenu kuomba kazi ya udereva bodaboda.
Mwenzenu ni kijana wa kitanzania ninaishi mkoa wa Dar es Salaam Kimara. Naomba mwenye bodaboda na hajapata dreva, niko tayari maana life limebana sana.
Nina familia ya mke wa ndoa kabisa hivyo ni mtu mwaminifu.
Naomba unipm kwa utakayeona naweza fanya nawe kazi kwa mawasiliano zaidi
Sinaga maneno boss wangu. Nazingatia sana privacy policy ya wateja.Dereva boda watamu jamn ila kwa umbea ndo basi tenaa,
Bado sijapata mkuu. Asante kwa your concernUmeshapata ?
Ni vizuri ukawa unatoa -Update
Nina mke mmoja tuu na ni mmoja wa wanaume waaminifuMkishapataga bikisenti mnaanza kiwaza mbususu za warembo tuu na wake za watu
Sidhani sana kama ni kweli maana nawafahamu watu kadhaa waliokuwa serious walivyofanikiwaWadau hum wamesema hiyo ni biashara kichaa
Amina
Hesabu nadhani itakuwa makubaliano na mwenye mali.Hesabu zikoje
Asante mkuu kwa note to take.Usually hua nachukia story ndefu bila suluhu so nitakachoandika hapa ndicho ninachochukia kuona kinafanywa ila no way out. Na nitaandika experience yangu.
Baada ya kuona kuanza udereva boda ni option pia kwangu nikajisogeza kwenye kijiwe cha boda nikazoeana nao nikaanza kua nagewa day worker. Baada ya mazoea na uaminifu kupanda nikaja kujua kuna watu mtaani kwetu wanatoa boda za mkataba na ninachotakiwa ni kufanyiwa recommendation na wenzangu wa kijiweni.
Nikaja pia kujua kama nina kiasi kidogo naweza kupeleka pale Watu Pikipiki na nikachukua ya mkopo. Kwa kukosa kianzio nikaenda kwa jamaa ambaye anatoa boda za mkataba.
Point yangu ni kwamba naamini step yako ya kwanza ilibidi iwe kijiwe cha boda, hapo utagewa day worker na utagewa options nyingi tu za kuweza kugewa chombo. Hapa online kama kuna mtu anaweza saidia I hope ataona kabla hali haijawa mbaya.
Amina mkuu.Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi@Pombe mbaya.