Habari,mimi ni msichan mweny miaka23 naishi morogoro niliehitim diploma katik chuo cha utumishi wa umma tanga.Naomba nafsi ya record au nje na record.
Kwa mawasiliano 0758304560

Jaribu na kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza Juice, Chapati na Chakula in a different way, isiwe kama wale akina mama nitilie. Mfano tafuta watu 10 wa oda ya chakula kila siku , then wapikie hao uone.
Hizo ajira za records zitakuja lini?!
Hizo namba ulizoweka kuwa makini dada yangu kuna matapeli watatumia fursa ya kukupatia kazi wakutapeli pia kuna waathirika watatoka dar kuja tanga kukurarua.
Ni hayo tu.

Ajira za records ni moja kati ya ajira zinazotangazwa sana ajira.go.tz na halmashauri mbalimbali muhimu kuwa updated na website za ajira mbalimbali dada kila la kheri.