Mungu akupe hitaji la moyo wakoHabari,mimi ni msichan mweny miaka23 naishi morogoro niliehitim diploma katik chuo cha utumishi wa umma tanga.Naomba nafsi ya record au nje na record.
Kwa mawasiliano 0758304560
Amein.Mungu akupe hitaji la moyo wako
Umejaribu kupitia website za ajira mfano zoomHabari,mimi ni msichan mweny miaka23 naishi morogoro niliehitim diploma katik chuo cha utumishi wa umma tanga.Naomba nafsi ya record au nje na record.
Kwa mawasiliano 0758304560
bora umemkumbushaHizo namba ulizoweka kuwa makini dada yangu kuna matapeli watatumia fursa ya kukupatia kazi wakutapeli pia kuna waathirika watatoka dar kuja tanga kukurarua.
Ni hayo tu.
it should be notedJaribu na kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza Juice, Chapati na Chakula in a different way, isiwe kama wale akina mama nitilie. Mfano tafuta watu 10 wa oda ya chakula kila siku , then wapikie hao uone.
Hizo ajira za records zitakuja lini?!