Bolingo Ya Telephone
Senior Member
- Jun 29, 2020
- 114
- 119
Mkuu nimesoma bandiko lako ila kwa tabu sana, jifunze kuweka paragraph.
Kusanya kamtaji ka kutosha kulima vitunguu hapo karatu na uanze mdogomdogoArusha,Mkuu
Kusanya kamtaji ka kutosha kulima vitunguu hapo karatu na uanze mdogomdogo
achana na kuajiriwa ni utumwa
Kazi unayofanya ni ipi ? Sio lazma utaje jina la kampuni !
Huo mshahara unaouita mdogo haukutoshi Ni sh ngapi kwa mwezi ? Ili tukusaidie kimawazo !!
Kumbuka Kuna ambao hata huo mshahara mdogo hawana, shukuru kwa kidogo ulichonacho !
Jibane kula hata Mara moja kwa siku ,,,fanya servings, matumizi yasio ya lazima acha !
Mfano ;
- mademu
-pombe
- anasa /outings n.k
-mtu wa pamba kila saa
- kusaidia ndg wasio na Tija, na hawajawahi Kuna na msaada kwako
Baada ya miez sita fungua hata genge lako komaa , !!! Hili la mashambani sijui usimamiz unajidanganya, kilimo kimekengeuka Sana now days , Ni ngumu Sana kumshawishi mtu amwage hela zake huko
Kusanya kamtaji ka kutosha kulima vitunguu hapo karatu na uanze mdogomdogo
achana na kuajiriwa ni utumwa
Unapata elf kumi? Maana hata hyo haifiki kilo 3Dah! Mkuu mshahara ni mdogo sana haufiki hata kilo 3 imagine na maisha haya ya Tz
Kwa hesabu ndogo mi naona bora udundulize af uje uwekeze mwenyewe kwenye kilimo hicho.
Nnachowaza ni kuwa ili mtu akuamin na muwekeze pamoja hatamwaga mapesa mengi zaidi.
Atafanya kama kuweka m1/2/3 hivi.Sasa kwa mtaji huo mnaweza kupata faida labda ya m10(japo kilimo kwasasa ni changamoto kupata faida hiyo)
Sasa umesema faida igawanywe robo..kwo 10÷4=2.5m
Ambapo umetumia miez 4+2(mpaka kuuza mazao yote)=miez 6
Miez6÷2.5m=~4.5K
Kwo tukizingatia mambo utayopitia na faida yake(ambayo siyo uhakika) BORA UTAFUTE(SAVE) MTAJI WAKO THEN KOMAA KIVYAKO!
Huu Uzi naamini hakuna alowahi kulima walau eka 1! Naona tu hesabu zenu😀😀! Kwamba uwekeze 1/2m upate 10m!😀.Mtoa mada usijaribu kulima..kilimo kinataka hela nzuri siyo ya mawazo. ! Utajuta!
Unapata elf kumi? Maana hata hyo haifiki kilo 3
Kuna wazo ningekupa ulifanye la kuingiza 20-15 tsh kwa siku
Kwa mtaji mdogo wa kuanzia.
Ila inahitaji muda wa kutosha.
Mazingira ya sehemu uliopo.
Aina ya watu waliopo katika mazingira hayo.
Uweke vyeti vyako pembeni ili ufanikiwe na toa aibu ya fulani atanionaje.
Think again kuna watu wanaishi vizuri bila ya mshahara.
Mkuu Kuna wengine wanapata chini ya hapo....!Unapata elf kumi? Maana hata hyo haifiki kilo 3
Awe specific mkuu.Haifiki kilo tatu ana maana gani? Je ni 290,000? Je ni 2000?Mkuu Kuna wengine wanapata chini ya hapo....!