pole. kuokota chupa kutakusaidia ndugu. ifanye kisomi, siyo kuwa kama wale waonekana kuvurugwa akili.Naomba kazi ya kufanya yoyote ile nipo Arusha mwanzo nilikuwa nauza nguo za kike ila nimeanguka kimtaji japo nina bachelor ya accounting na finance na nina uzoefu wa kutumia computers vizuri nikibobea kwenye tally na cash statement,
Ninachoomba ni kupatiwa kazi ya kunihifadhi hapa mjini kwani sio mzaliwa wa Arusha na pango la mwenye nyumba linanihusu kwa yeyote aliyetayali kunipa kazi ya kufanya nitafanya bila kujali kipato,
Kwani nimezunguka sana kutafuta kazi ya fani yangu, lakini nimeona mda unaenda na mambo muhimu kama malazi, mavazi na chakula bado vinanisubiri na kazi bado sijapata.
Co nipo hapa kuomba kupatiwa kazi ya kufanya hata kama ina kipato kidogo nitaifanya kuliko nikaishi bila kazi.
Asanteni kwa usikivu naamini nimeeleweka.
Pole mkuu, umejaribu pale A2Z kiwandani kisongo, huaga wanakaz nyng sn, nenda ijumaa.Naomba kazi ya kufanya yoyote ile nipo Arusha mwanzo nilikuwa nauza nguo za kike ila nimeanguka kimtaji japo nina bachelor ya accounting na finance na nina uzoefu wa kutumia computers vizuri nikibobea kwenye tally na cash statement,
Ninachoomba ni kupatiwa kazi ya kunihifadhi hapa mjini kwani sio mzaliwa wa Arusha na pango la mwenye nyumba linanihusu kwa yeyote aliyetayali kunipa kazi ya kufanya nitafanya bila kujali kipato,
Kwani nimezunguka sana kutafuta kazi ya fani yangu, lakini nimeona mda unaenda na mambo muhimu kama malazi, mavazi na chakula bado vinanisubiri na kazi bado sijapata.
Co nipo hapa kuomba kupatiwa kazi ya kufanya hata kama ina kipato kidogo nitaifanya kuliko nikaishi bila kazi.
Asanteni kwa usikivu naamini nimeeleweka.
Asante mkuu number yangu ni
0745602798
Asante nashukuru sana ndugu yangu na mungu akusaidie njia zote upitazo akuzidishie zaidi na kukupa maisha marefu asante sana kaka sna cha kukulipa ni mungu wangu tu atakulipa Asante sanaPole sana mkuu. Leta namba yako ya simu nikutumie hata hela ya kula siku mbili tatu
Asante nashukuru sana ndugu yangu na mungu akusaidie njia zote upitazo akuzidishie zaidi na kukupa maisha marefu asante sana kaka sna cha kukulipa ni mungu wangu tu atakulipa Asante sana
Nicheki nakupa kazi kidogo na rahisi ukiimudu unaweza kufanya nyingine kwa miezi 2-4Naomba kazi ya kufanya yoyote ile nipo Arusha mwanzo nilikuwa nauza nguo za kike ila nimeanguka kimtaji japo nina bachelor ya accounting na finance na nina uzoefu wa kutumia computers vizuri nikibobea kwenye tally na cash statement,