Hell2Heaven
Senior Member
- Mar 3, 2021
- 173
- 465
NakuombeaHello,
Mm ni mwanaume nina miaka 33, na degree ya Mass Communications nime majour kwenye Public Relations and Marketing.
Ingawa nina uzoefu wa Miaka 7, ya ajira.. katika Community Outreach. Marketing and Sales..na pia nimefanya Post za Public Relations, Campaign and Advertising.
So niko available kwa sasa sina Ajira.
Nina uzoefu wa Kufanya na Makampuni na NGOs pia.
Karibu DM ikiwa una msukumo wa kunisaidia kunionganisha mahali au kama wewe ni HR au una Authority ya kuajiri katika kampini yenu/yako.

UDSMMungu akupe hitaji lako.....umesimea chuo ganiii????
Asante ndugukila la kheri Chief
Amina bro.Nakuombea
Pitia foundation ya benjamin mkapa wametangaza nafasi za kazi, pitia kama kuna kazi inayoendana na qualifications zako ujaribu kuapply. View attachment Job Advert .pdfHello,
Mm ni mwanaume nina miaka 33, na degree ya Mass Communications nime majour kwenye Public Relations and Marketing.
Ingawa nina uzoefu wa Miaka 7, ya ajira.. katika Community Outreach. Marketing and Sales..na pia nimefanya Post za Public Relations, Campaign and Advertising.
So niko available kwa sasa sina Ajira.
Nina uzoefu wa Kufanya na Makampuni na NGOs pia.
Karibu DM ikiwa una msukumo wa kunisaidia kunionganisha mahali au kama wewe ni HR au una Authority ya kuajiri katika kampini yenu/yako.
Njoo usome tangazo la kazi hukumazee mmeninyima hata connections
Asante nime sha applyNjoo usome tangazo la kazi huku