G godfrey mgoyezi Member Joined Sep 1, 2015 Posts 49 Reaction score 6 Oct 1, 2016 #1 habar wadau, jaman mwenye joining instruction ya technician cert in primary education mount meru univ anisaidie
habar wadau, jaman mwenye joining instruction ya technician cert in primary education mount meru univ anisaidie
Kel-dizo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2015 Posts 423 Reaction score 168 Oct 1, 2016 #2 Umekosea njia huu uzi ulitakiwa kupelekwa kwenye jukwaa linalohusiana na masuala ya elimu,,,, ila kama ni mount meru ya mwanza tutakuwa wote nami pia nimepangiwa huko na barua ya kujiunga walinitumia ila bado haijanifikia
Umekosea njia huu uzi ulitakiwa kupelekwa kwenye jukwaa linalohusiana na masuala ya elimu,,,, ila kama ni mount meru ya mwanza tutakuwa wote nami pia nimepangiwa huko na barua ya kujiunga walinitumia ila bado haijanifikia