Naomba chadema tuwe na usemi huu!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,905
Reaction score
9,335
Ndugu wana CHADEMA nashauri Salamu ya CHADEMA iwe hivi,"PEOPLE POWER"kiitikio kiwe "MOVEMENT FOR CHANGE"je wewe unaonaje? Toa wazo.
 
Labda vitamkwe
People : Power
Movement: For Change
 
Nadhani hii ni nzuri mpaka 2015 kwa sababu wakishachukua nchi inaweza kuwarudi.
 
Niwazo zuri, Ila kingepatikana na kibwagizo cha Kiswahili ingeonyesha uhalisia hasa unaosemwa na sasa unatekelezwa wa kuwa sasa CHADEMA ni chama cha watanzania wote. Naandika hivi kwa sababu tutake tusitake Lugha hii ya Kigeni inayotumika kwa sasa katika vibwagizo vya CHADEMA kwa baadhi ya watanzania inaonekana kuwa ni ya kikoloni na sidhani kama kuna mtanzania ambaye anataka kuhusisha uongozi wa nchi hii na alama za kikoloni. Ni Mtizamo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…