Heri ya mwaka mpya wakuu,
Naomba Bei/Quote ya Grills (Design/Vipimo attached).
1) Nime-attach vipimo na design.
2) Kama kuna swali naomba u post hapa.
3) Naomba uni-PM only kama una Quote Bei na uambatanishe na profile ya company yako.
4) Tenganisha Material na Labour ya kazi.
Asanteni,
CEJ.