mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,223
- 1,391
Mkuu nimeshindwa kuidownload hapo juu.Hiyo ni life time key. Nimepiga windows zaidi ya mara 6 tangu mwaka juzi nilitumia, mwaka jana. Juzi nimepiga windows na nikaitumia kuactivate. Na inapiga kazi na freshi. Na kama ulisign in windows yako, hiyo microsoft ina lleta jina lako, picha mpaka email yako.
Zpo tena sehenu ya PIN imefichwa km vochaUnahis bongo original cd zinapatikana ovyo
2019 bei yake unadaka pc mtumba hapa bongo.Zpo tena sehenu ya PIN imefichwa km vocha
Mwisho wa post kuna manenoMkuu nimeshindwa kuidownload hapo juu.
Mkuu labeda nikuambie unisaidie kutuma kama separate attatchment. NaAtumia screen reader siwezi bonyeza hapo tafadhamiMwisho wa post kuna maneno
Download Microsoft Office 2019 activator.
Bonyeza kwenye Microsoft Office 2019 activator
Hii naweza kuitumia kwa ile ms office 2019 inayokuwa installed moja kwa moja na windows 10. Au inabidi iwe separate ndo itakubali..Hiyo ni life time key. Nimepiga windows zaidi ya mara 6 tangu mwaka juzi nilitumia, mwaka jana. Juzi nimepiga windows na nikaitumia kuactivate. Na inapiga kazi na freshi. Na kama ulisign in windows yako, hiyo microsoft ina lleta jina lako, picha mpaka email yako.
Nafikiri. Ila pia ushaangalia version ya windows unayoitumia?Hii naweza kuitumia kwa ile ms office 2019 inayokuwa installed moja kwa moja na windows 10. Au inabidi iwe separate ndo itakubali..
Mimi natumia ms office inayopatikana kwenye windows 10 za jamaa anaitwa smokie blah blah. Sasa ishaanza kuniletea habari za kuactivate, je vipi hiyo itakubali au??
Ndiyo.Hii naweza kuitumia kwa ile ms office 2019 inayokuwa installed moja kwa moja na windows 10. Au inabidi iwe separate ndo itakubali..
Mimi natumia ms office inayopatikana kwenye windows 10 za jamaa anaitwa smokie blah blah. Sasa ishaanza kuniletea habari za kuactivate, je vipi hiyo itakubali au??
Tafuta helaaaa !!! Ununue original CD