Wakuu heshima yenu. Naomba msaada wa kupatiwa activation key ya microsoft office professional Plus 2019
Mfano nikiandika kwenye Microsoft word inagoma na kuleta maandishi "you can't make this change because the selection is locked"
Wasaalam
Dr. Nyakageni
Vipi wew ilikusaidia mkuu, maana mi naona inazingua. Au ni version ipi ya kmspicodownload kms spico itakusadia mkuu
tufanye hivi Chief-Mkwawa msaada wakoVipi wew ilikusaidia mkuu, maana mi naona inazingua. Au ni version ipi ya kmspico
Mimi natumi hiitufanye hivi Chief-Mkwawa msaada wako
Mkuu unailipia office 365.Mimi natumi hii
For both windows na office zote.
Kwa sasa nimehamia 0ffice365 ya kulipia monthly
Nalipiwa napopiga piga mishe.Mkuu unailipia office 365.
YahNalipiwa napopiga piga mishe.
Unaipenda ?
Ipo na extra features pia unaweza tumia online, kwa ambayo natumia enterprise ina apps za enterprise . Kifupi ni nzuri kwa watumiaji wa enterprise kama home user tumia tu hizi za kawaidaKwani ofice 365 uzuri wake ni upi
Yangu y mwanzo nilinunua aliexpress. Ila ya magumashi japo was perfect
Mi ngoja nikomae na office 2019 inanifaa mwaka wa 3 sasaYangu y mwanzo nilinunua aliexpress. Ila ya magumashi japo was perfect
Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2019
1. Connect computer yako na internet kwa kutumia Modem au wifi
2. Turn off Antivirus kwenye computer
3. Extract Microsoft Office 2019 activator kwa kutumia Winrar au 7-zip.
4. Run Microsoft activator 2019 as administrator
View attachment 1707800
5. Itafunguka CMD. Iache wala usibonyeze keyboard. Itaanza kuactivate yenyewe. Ikimaliza ifunge CMD kwa kubonyeza N au cancel kwa kutumia cursor
View attachment 1707801
6. Ikishamaliza. Microsoft Office 2019 itakuwa activated kama inavyoonekana kwenye picha. Enjoy
View attachment 1707802
Download Microsoft Office 2019 activator
Mkuu hii ni kwa muda wote au siku 180Jinsi ya kuactivate Microsoft Office 2019
1. Connect computer yako na internet kwa kutumia Modem au wifi
2. Turn off Antivirus kwenye computer
3. Extract Microsoft Office 2019 activator kwa kutumia Winrar au 7-zip.
4. Run Microsoft activator 2019 as administrator
View attachment 1707800
5. Itafunguka CMD. Iache wala usibonyeze keyboard. Itaanza kuactivate yenyewe. Ikimaliza ifunge CMD kwa kubonyeza N au cancel kwa kutumia cursor
View attachment 1707801
6. Ikishamaliza. Microsoft Office 2019 itakuwa activated kama inavyoonekana kwenye picha. Enjoy
View attachment 1707802
Download Microsoft Office 2019 activator
Mkuu hii ni kwa muda wote au siku 180
Tafuta helaaaa !!! Ununue original CDShukrani. Nimeweza kuactivate MS Office 2019
Mimi natumi hii
For both windows na office zote.
Kwa sasa nimehamia 0ffice365 ya kulipia monthly
Unahis bongo original cd zinapatikana ovyoTafuta helaaaa !!! Ununue original CD