Naogopa kufanyiwa x-ray ya kifua

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,663
Ndugu wana JF kuna applicatio nafanya ya masomo sasa kigezo kimoja wapo kuna form ya Foreigner Physical examination form inatakiwa ijazwe. Sasa humo ndani kuna magonjwa mengi inatakikana nipimwe na mimi kwa kweli huwa sipendi kabisa masuala ya kupimwa na mpaka sasa nimeazimia nikienda hospital wanifanyie mpango tu kunijazia bila kunipima sasa kimbembe ni kwenye hiyo X-ray ambapo wamesema wanataka picha ya x-ray ya kifua iambatanishwe. Sasa hapa nimeishiwa pumzi hivi kwa mfano naweza nikatumia x-ray ya kifua cha mtu mngine? Maana for sure nimepata negative review nyingi sana kuhusu x-ray na nisingependa kuifanya.

Na kwa mfano nikakitumia kifua cha mtu kwenye x-ray wanaweza wakafaham kweli?
 
Back
Top Bottom