Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi hususani English medium zilizo kwenye mfumo wa Soft Copy, Word Document au PDF anicheki PM tufanye biashara.
THL NI platform kwa ajili ya walimu na wanafunzi notse zao huwezi kuprint ila unaweza kuzisoma na itakulazimu km ni mwalimu itakubidi uwe unazinakili kwa mkono kutoka katika app ya THL