Spinster JF-Expert Member Joined Mar 19, 2012 Posts 487 Reaction score 138 Feb 6, 2018 #1 Naanzisha biashara ya kukodisha magauni ya harusi kwa bei rahisi dar. Yoyote mwenye gauni/magauni ya harusi ambayo anataka kuuza au kukodisha naomba tuwasiliane ili tufanye biashara. 075658969u
Naanzisha biashara ya kukodisha magauni ya harusi kwa bei rahisi dar. Yoyote mwenye gauni/magauni ya harusi ambayo anataka kuuza au kukodisha naomba tuwasiliane ili tufanye biashara. 075658969u
L Login17 Member Joined Jun 21, 2017 Posts 83 Reaction score 69 Feb 7, 2018 #2 Hiyo namba ya simu mbona haieleweki
noel oga JF-Expert Member Joined Oct 20, 2015 Posts 277 Reaction score 230 Feb 7, 2018 #3 Ninalo gauni njo tuelewane bei piga 0788479084