BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,928 Sep 17, 2017 #1 Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Cell No; +255766687168
Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Cell No; +255766687168
A Alex Mbwilo JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 351 Reaction score 290 Sep 17, 2017 #2 BIGstallion said: Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Click to expand... Mwaka huu itakula kwako
BIGstallion said: Habari wakuu Kama kichwa habari apo juu, nanunua mazao hayo kwa bei nzuri, kama unakuanzia 500kg mpaka tani 20,nicheki pm tuzungumze biashara Natanguliza shukrani Click to expand... Mwaka huu itakula kwako
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,928 Sep 17, 2017 Thread starter #3 Alex Mbwilo said: Mwaka huu itakula kwako Click to expand... Kwa nn ?
darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,340 Reaction score 18,419 Sep 17, 2017 #4 Hongera mkuu
C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,562 Reaction score 15,974 Sep 17, 2017 #5 Weka contacts zako hapo, sema karanga unataka aina ipi na bei gani unatoa na korosho hivo hivo habari ya pm utakosa watu
Weka contacts zako hapo, sema karanga unataka aina ipi na bei gani unatoa na korosho hivo hivo habari ya pm utakosa watu
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,928 Sep 17, 2017 Thread starter #6 chotera said: Weka contacts zako hapo, sema karanga unataka aina ipi na bei gani unatoa na korosho hivo hivo habari ya pm utakosa watu Click to expand... We njoo pm hatuyashindwana,... Ila bei yangu ni 1800 mpaka 2000 na karanga n korosho iwe haijabanguliwa, ufuta uwe msafi usiwe na mchanga wala rangi rangi,...Cell +255766687168
chotera said: Weka contacts zako hapo, sema karanga unataka aina ipi na bei gani unatoa na korosho hivo hivo habari ya pm utakosa watu Click to expand... We njoo pm hatuyashindwana,... Ila bei yangu ni 1800 mpaka 2000 na karanga n korosho iwe haijabanguliwa, ufuta uwe msafi usiwe na mchanga wala rangi rangi,...Cell +255766687168
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,928 Sep 17, 2017 Thread starter #7 darcity said: Hongera mkuu Click to expand... Thanks bro,
Anselim Member Joined Jul 30, 2017 Posts 78 Reaction score 98 Sep 17, 2017 #8 Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini?
Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini?
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,928 Sep 17, 2017 Thread starter #9 Anselim said: Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini? Click to expand... Ila nimeshataja bei apo juu mkuu,
Anselim said: Kuna jamaa nayeye anatangaza biashara lakini kwenye bei anakwambia NIFUATE PM sasa sijui ili iweje! MKUU,kwani huko pm kuna nini? Click to expand... Ila nimeshataja bei apo juu mkuu,
fmlyimo JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Jun 8, 2018 #10 UFUTA na CHOROKO Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho. BEI YA LEO Ufuta: 2,600/= kwa kilo Choroko: 1,100/= kwa kilo Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com
UFUTA na CHOROKO Tunanunua Ufuta na Choroko kwa kiasi chochote ulichonacho. BEI YA LEO Ufuta: 2,600/= kwa kilo Choroko: 1,100/= kwa kilo Karibuni sana. 0659890000 fmlyimo@gmail.com