Salaam wana JF
Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali naomba awasiliane na mimi. Kumekuwa na tabia kuja inbox bila kuacha mawasiliano ya simu. Contacts za muhusika ni muhimu sana.
Nawasilisha