Jah bless JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 277 Reaction score 466 May 10, 2017 #1 Kama kichwa kisemavyo, natafuta biashara iwe ya duka( sio la madawa, barbershop, saloon wala grocery/bar) pia iwe dsm pekee. Aliye na biashara yake na ameichoka au vinginevyo aje tuongee biashara.
Kama kichwa kisemavyo, natafuta biashara iwe ya duka( sio la madawa, barbershop, saloon wala grocery/bar) pia iwe dsm pekee. Aliye na biashara yake na ameichoka au vinginevyo aje tuongee biashara.