Nani zaidi Baca au Real Madrid

Nani zaidi Baca au Real Madrid

nop, they were nguvu sawa mpaka jana...
Nw madrid wanalead kwa match moja, n barca hawajawahi waovertak kwa muda mrefu mnoooo sasa!
 
Ukali wa nini labda?
Mi naona kama vile real wako fresh tatizo ni kuwa team yao imekuwa ikibadilishwa sana tofauti na barca ambao midfield ni wale wale toka mwaka 2007
 
hakuna kama Fc Barcelona kuanzia nidhamu mpaka soka la uwanjani. Hawa majamaa wapo juu
 
hakuna kama Fc Barcelona kuanzia nidhamu mpaka soka la uwanjani. Hawa majamaa wapo juu

hadi kuanguka anguka na kujua kuomba penart na kutafyia card wapinzani wao wakiona gemu nguma kwao
 
The mighty real madrid ni mwisho wa reli. Hala madrid!!!!!
 
Watu wana phyisic huwezi skia timu imefungwa na madrid mwisho wa siku kuna malalamiko,. Soka safi ushindi wa halali. Madrid nouumaa
 
Watu wana phyisic huwezi skia timu imefungwa na madrid mwisho wa siku kuna malalamiko,. Soka safi ushindi wa halali. Madrid nouumaa
Barça hawana desturi ya kulalamika. Kazi ya kulalamika wanaiweza Madrid wakifungwa, maana wao kila wakifungwa 'wameonewa'
 
Barça hawana desturi ya kulalamika. Kazi ya kulalamika wanaiweza Madrid wakifungwa, maana wao kila wakifungwa 'wameonewa'

walivokutana na aseno, chels, na ac milan wote ni madrid wanalalamika au ndoi ushabiki umekuzidi
 
Aisee barca noma xana hamnaga kama barca,madrid bado xana kwa barca jaman watoto wa La masia wanatisha sana muulize fergue na wenger.
 
Back
Top Bottom