hata mi nashindwa kuelewa jaman na huyo mama mtu anamruhusu vip mwanaye arudi kuishi nyumban bila idhini ya mumeweMawasiliano mazur n nguzo ya mapenzi. Hiv unafanya uhamisho mumeo wa ndoa hajui haikuji kabjsa!!! Sasa matokea yake amekosa bara na pwani...hiv wanawake wenzangu nan kawaambia ndoa n kushindana na kuleta utemi kwa mumeo??? Hata kama kitu hutaki unaongea nae taratibu mnaelewana...na sio kuamua kujichukulia maamuz mkononi...haya sasa bibie aendw huko anataka kwenda mume nae anarud patam hapo....kosa lake n kuamua kua mkimya na kutomshirikisha mumewe halaf umepangiwa nyumba nzima kwenu kufata nin na ww ushakua mke wa mtu!!! Akili zake zimo kweli kodi imeisha alisema kwa mumewe??? Halaf hizi ndoa za kuish mmoja kaskazi mmoja kusi haina mashiko kabisa!!! Hainikuti hii yaan tunaweka misimamo na maelewano kabla y ndoa najua hata ndoa ikiwepo naelekea wapi baada ya hapo hao wanandoa wana tofaut zao ndan kwa ndani and wasipokua makini very soon ndoa inaparanganyika....
Sasa hapo kuna kutafuta mchawi tena? mwanamke wakati anakataa kutafuta uhamisho alitoa sababu gani za msingi? na kwanini afanye taratibu za uhamisho kimya kimya wkt mwanzoni alikataaa? hivi wengine kwenye ndoa huwa wanalazimishwaaaaa au wanaamua toka mioyoni mwao?
Kwa maneno yako mwenyewe mwanamke ndio mkorofi na wa kulaumiwah mume akamshuri mke wake atafute uhamisho ili amfuate mumewe mwanamke akakataa
mwanamke akaamua kutafuta uhamisho ili amfuate mumewe tena bila kumwambia
jaman manake mwanamke analalamika anaona kaonewa na ni mkorofi huyo ,ushauri pliiz kuokoa hii ndoa changa
hata mi nashindwa kuelewa jaman na huyo mama mtu anamruhusu vip mwanaye arudi kuishi nyumban bila idhini ya mumewe
Wote wawili hawajitambui. Hivi how come unaishi mbali na mkeo au mumeo. Eti kisa kazi. Kwani huko mikoani hakuna kazi? Lol mimi nilisha apa simwachi mke wangu nyumba. Tutafuatana kila mahali ninapo kwenda. Kama akikosa kazi atafuga hata kuku.