Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
No 4....kwani hio chance lazima apewe tena?
haya mi nimeshasema natumaini umenisikia!!
wapi bibie?Haya mi nimeshasema natumaini UMENISIKIA!!
Si hapa barazani....!Mi nlidhani ananisikiliza kumbe hola!umesema wapi???????
mmm..kweli?wakazi gani kisha ona yangu haifai.
hahahsMie ntampa No.1
lakini lazima awe wewe Ivuga mmhh
mmm..siamini kabisavipi unaona kama nimepindisha maneno?
Mara nyingi ya 3. The one who has sex with someone else and gets caught then denies...huwa wanapewa chance kwa sana tuuuuuu.....Halafu kuna kitu sasa hawa hasa wanawake jamani huwa sisi wanaume tunawaoneaga sana..Akikukuta hasa miafrica yenye mifume eti dume...Lkn huyohuyo mwenye mfumo dume akifanyiwa inauma...Mkuki kwa nguruwe....
thts what you believe?..........there is always no such a thing as a second chance in love.....................
wewe si MalE...kwa dada zet cio hivyo1,2,3,4xxxxxxtupa kule