Nani unamu-admire hapa JF?

Mimi kiukweli mbali na kuboreka sometimes watu wanaoniboa ni wale wanaojifanya wanajua kuliko wengine, afu wanajifanya wao wanadharau wenzao wakitoa mawazo yao, wanajifanya wao ni wa zamani humu jf so wengine wanawaona kama hawaelewi chochote,
by the way kama mtu kakuboa una PM sio unamkashifu hadharani.


Nina wasiwasi na hii thread, itaongeza uhasama baina ya wana jf.
Vinginevyo nawapenda wote wanaoheshimu mawazo ya watu na ukiona thread ya mwenzio inakuboa sio lazima uchangie kuliko kuleta majungu.
 
Oouch! Umenikamata weee mtoto wa Kinondoni. Haya karudie kusoma nimehariri...

aya bwana nw nimeelwa..ahh maneno ako meng magumu as if mwalimu wako wa twshen alikuwa mgirik si atuelew wenzio...umeipata ile ya kopa mpya?
 

Faizafoxy na makaimati
 
aya bwana nw nimeelwa..ahh maneno ako meng magumu as if mwalimu wako wa twshen alikuwa mgirik si atuelew wenzio...umeipata ile ya kopa mpya?

Tayari nnayo hiyo na naigonga hapa saa hivi....imetulia kinoma.
 
Na wewe bana Gesti au Hotel kha???


apo chacha!
tena apo kajitaidi manake zake ni ..rose tangulia ule uchochoro wa juzi nakuja...akibadili sana basi makaburini..na kwa kukimbia:mimba:usimpimie!!!!
 

Uhasama kwakuambiwa ukweli?Huo utakua utoto!!!Mbona mi sina uhasama na Hus?!
 
Ngoja nikaivae mawani yangu vizuri......... manake una mafumbo wewe mtoto sijapata kuona.

Hope umenisoma...milango mingine ipo ila sio lazima ufungue babu!!!
 
ah mi nacheza mganda leo ..nshavaa kaptula na raba nyeupe..MONILE KADALA VEVE!!!!!!
Ngoja nirudi kuedit Rose namba tatu...sasa mshaelewana lugha na NN si msogee pembeni na taarabu zenu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…