Nani unamu-admire hapa JF?

4.na wale wanaojifanya kujua kila kitu pia wananiboa

Listen Rosie,

As you know, there are known knowns. There are things we know we know.
We also know that there are known unknowns.

That is to say we know there are some things we do not know.
But there are also unknown unknowns, the ones we don't know we don't know.

So what do you know?
 
Taratiiibu dadaa usije ukanawishwa mafuta ya nazi bure.
 
Ina maana umeona nnapokupenda?!Ngoja nikutafutie lenzi ya pili ya hako kamiwani kako!

Hehehehe..... unataka nianze kuzungumzia mambo ya mila na tamaduni zetu?.............. sitaki kukuboa nikuharibie wikiendi yako bana.

Ngoja niende mtaa wa pili kule nikatakase macho.........shhhhhhhhiiiiiiiiiiii usimwambie mtu, sawa eh?
 
I won‘t tell...ila naona aibu mpaka natype huku macho nimefumba!!!
 
Nami napenda posts zako, haya tangulia gesti.

apana stangulii gest mi natangulia kitandaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!
mwambie awai basi...:dance:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…