Unaweza kulima maembe naonaga wananunua pale kiwanda cha bahalesa, maendeo ya vikindu kama sikosei naonaga maloli yamepakia maembe yapo foleni,Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua changamoto ya soko la mazao ya kilimo haiwezekan sisi wenyewe kupeana hizo fursa?
Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mfano naweza kulima karanga,Soya-Beans,kunde nk wewe mteja hautanilipa chochote kabula ya mzigo kuwa tayari
Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!
Lkn sambamba na hilo,
Wewe una wazo la kufungua kiwanda mfano Cha biskuti zitokanazo na mbaazi,kunde,soya,karanga nk lkn unapata challenge ya mali-ghafi nipe Tenda hiyo nipige kazi hata ukitaka gunia elf 10 nitazalisha au tuwe hata wa5 kila mtu azalishe kwa uwezo wake lkn wote iwe tunazalishia mteja fulani chini ya usimamizi wa sheria tutakayojiwekea wenyewe!
Nawasilisha kwenu!!!✌🏼🙏✍️
Yes, sio maembe tu hata parachichi mzee, sema hajafatiliaUnaweza kulima maembe naonaga wananunua pale kiwanda cha bahalesa, maendeo ya vikindu kama sikosei naonaga maloli yamepakia maembe yapo foleni,
Eneo la kulima unalo? Kama huna nikupangishe 3.5 acres hapo chalinze,Ngoja Hilo nalo wazo zuri nitalifanyia kazi!!!eneo
Mkuu… wazo lako naliheshimu.Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Inategemea unataka kuanzia kwenye angle ipi sasa la soko, na lazima ufanye tathimi ya demand ya bidhaa yako ya kilimo kwanza kabla ya kwenda kwa hao tunaita high bider.Naomba pa kuanzia mkuu ukweli sikuwa najua ndio maana nikaandika huku
Natanguliza shukrani 🙏
Cha msingi, ww lima kisha kabla zao halijaiva tafuta soko lake huku na huko.Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!
Mkuu… wazo lako naliheshimu.
Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.
Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.
Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.
Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
Na hii ndio changamoto kubwa, lakin kama mkataba ata andaa uwe kwenye flexibility price adjustment kulingana na muda wa soko na uhitaji wala sio shida kikubwa awe na uhakika wa kupata serious CostumerMkuu… wazo lako naliheshimu.
Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.
Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.
Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.
Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
Gentleman,Wakuu poleni na mahangaiko ya kusaka heshima(💰)
Wakati naendelea kuwaza na kuwazua jinsi ya kujiwekea Heshima yaani kuwa na pesa,nikapata wazo la kilimo lkn hapo hapo nikakutana na changamoto ya soko la uhakika,,,Basi nikapata wazo la kuwahusisha nyie wadau wapenda maendeleo,
J ili kutatua changamoto ya soko la mazao ya kilimo haiwezekan sisi wenyewe kupeana hizo fursa?
Yaani mfano mm mkulima unakuja tunaandikiana MAKUBALIANO Kisha nalima zao unalotaka wewe kwa bei ya MAKUBALIANO pia Mimi nalima nikiwa na uhakika wa soko la uhakika nikiwa nalindwa na sheria pia na mteja wangu alindwe na sheria pia,
Mfano naweza kulima karanga,Soya-Beans,kunde nk wewe mteja hautanilipa chochote kabula ya mzigo kuwa tayari
Mnaonaje hilo wadau,maana soko limekuwa changamoto kubwa kwa wakulima!
Lkn sambamba na hilo,
Wewe una wazo la kufungua kiwanda mfano Cha biskuti zitokanazo na mbaazi,kunde,soya,karanga nk lkn unapata challenge ya mali-ghafi nipe Tenda hiyo nipige kazi hata ukitaka gunia elf 10 nitazalisha au tuwe hata wa5 kila mtu azalishe kwa uwezo wake lkn wote iwe tunazalishia mteja fulani chini ya usimamizi wa sheria tutakayojiwekea wenyewe!
Nawasilisha kwenu!!!✌🏼🙏✍️
Ni kweli ulichoandika ila tatizo hakuna mkulima anayeli lengo aje kupata hasara baada ya mavuno!Na hii
Na hii ndio changamoto kubwa, lakin kama mkataba ata andaa uwe kwenye flexibility price adjustment kulingana na muda wa soko na uhitaji wala sio shida kikubwa awe na uhakika wa kupata serious Costumer
Mkuu shukrani 🙏, ngoja hapo Napo nifanye research nitakurudia km utakuwa na la kushauri maana hapa nimejaribu kupitia serikali nikagundua changamoto ya leseni,vibali nk utaishia kuangushwa tu jumlisha mchako wa kuzalisha hiyo kitu Kisha utelekezwe Ni zaidi ya maumivu!!!Gentleman,
karanga, soya beans na kunde mbona haijawahi kukosa soko?
nadhani kwa kipindi kirefu sasa mazao hayo ni dili mno sokoni hususani dar es salaam na thamani yake haijawahi kushuka bali hupanda siku hadi siku,
nadhani soko lipo la uhakika.
Kuna viazi lishe vile vya njano pia soko lake ni la uhakika sana 🐒
N maelewano kaka, kama inalipa hata kwa bei ya zaman we uza na uheshimu mkataba, hapo ndipo wengi wanapo feli mzee, na kama mkataba unatoa room ya price bargain sio shida kabisa n ile win win situation na kila mmoja apateWanoNi kweli ulichoandika ila tatizo hakuna mkulima anayeli lengo aje kupata hasara baada ya mavuno!
Kwa maana hyo bei ikibadilika na kuwa juu kuliko ile ya makubaliano lazima mkulima amgeuke mnunuzi.
Nashukuru pia naheshimu mawazoMkuu… wazo lako naliheshimu.
Tatizo la nafaka hubadilika bei kila wakati, ivo ukisema ukubaliane na mfanyabiashara ili aje kununua kwa mkataba lazima mtakuja kugeukana tu.
Mf… saivi sokoni karanga KILO 1= elfu 4. Ina maana kwa mkulima ni elfu 2 hadi elfu 3.
Sasa unakubaliana na mnunuzi ili aje kununua baadae kwa KILO 1= 1,500 hadi 1,800. Tatizo linakuja kipindi hicho ambacho mmekubaliana bei unakuta imepanda! Je utakubali kuuza bei ambayo ipo kwenye makubaliano ambayo kwa kipindi hicho ukipiga hesabu ni bei ya hasara.
Je, hizo karanga zako utauza kwa bei ya kwenye makaratasi (mkataba)
mkuu vp uzi huo umekaaje???wakuu kama kuna yeyote alie tayari tufanye biashara ya ununuzi wa mahindi kutoka tanga-dar
Shukrani saana mkuu....nilitaka kuwa supplier lkn kwa maelezo yako nimepambanukiwa zaidi.....Hilo swala unataka kuwa key client wa agricultural products au uwe supplier ama vendor, ukianza kama unavotaka ndipo utakapoona faida na pesa, usitafte mtu wa kukununulia bidhaa, tafta soko mwenyewe, kuna makampuni yanatafuta watu kama wewe logistics zote juu yao, lima dengu ufuta mbaazi karanga soya njano choroko na alizeti, hutakuwa na mbambamba