Nani mzee CHADEMA ashauri uongozi?

Nani mzee CHADEMA ashauri uongozi?

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
4,582
Reaction score
2,783
Binafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.

Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.

Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.

Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.

Bila hivyo tutapotea.

Mtei uko wapi babu!!!
 
Wewe kama ni mwanachama wa chadema basi umejiunga na chama hicho Jana jioni kuamkia Leo..... Kama vinginevyo kachukue buku7 ile mitaa yetu pendwa... Hujui misingi ya chama wala katiba ya chama huijui.... Yaani upoupo tuu hujielewi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alimpotosha Odinga hadi kushindwa uchaguzi

Raila.jpm_.orange.jpg

Swissme
 
Sasa kma kuandika tu hujui utaweza kushauri kweli
 
Binafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.

Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.

Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.

Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.

Bila hivyo tutapotea.

Mtei uko wapi babu!!!
.tangu lini we upo Chadema
 
Tundu Lissu ndio kawa KATIBU Mkuu na Mwenyekiti Chadema. Na hicho cheo cha Rais wa TLS basi ndo kapewa rung u la kukusanya pesa za deal kupitia ma adui wa Nchi. Mhujumu uchumi wa Nchi hatakiwi uraiani. Jela ndio nyumbani Kwao. Ningekuwa na uwezo ningemkamata kwa uhujumu uchumi
 
Wishful thinking, Lisu sio size yako pole sana.
 
Binafsi sioni malengo yetu ya kizalenda ya kutaka tuaminike. Tunahitaji wazee wenye busara washauri upya uongozi. Wanatakiwa wawambie viongozi mipaka na miiko ya taifa.

Bila hayo tutafutika katika mioyo ya watu.

Wakati wa suala la kutaka taifa likatiwe misaada kuna watu walisema TL amepotea na amekosea. Leo amechoma taifa kwa wadai wetu eti ili apate kutawala.

Si vema kukaa kimya. Chama kiangalia kwa upana wake na kuona busara za wazee hata 10 wanaoweza shauri juu ya misingi ya kiuongozi.

Bila hivyo tutapotea.

Mtei uko wapi babu!!!
Malengo ya kizalendo ndio nini?
Unaposema tuaminike ili iwe vipi, CDM inaaminika bara na visiwani, mjini na vijijini, ndani na nje ya nchi. Unakuja na hoja dhaifu hata aibu huoni.

Hao uliodai wazee kawaambie waanze na pogba kwenye chama chako CCM, wakimaliza waende CUF ya lipumba. CDM wazee wanao tena wana busara zao za kutosha so shut the hell up!
 
Baado hujui uzalendo ni nini? Yaani chama hakina hata kiongozi anayejielewa baada ya usajili wa 2015 na wewe hujui?

Akili zetu ndo makaburi yetu kweli nimekubali.

Back
Top Bottom