Aliye anaumwa tangu asubuhi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Amani na upendo kwa wote.
Nipo naishi kwenye nyumba nzima,natumia upande wa mmoja wa nyumba nalala na kijana mwezangu.
Ni wiki yote sikuwa mtu wa kwenda mbali na hapa ninapoishi.
Siku niliyotoka tu ndio siku niliyoibiwa,laptop na baadhi ya nguo.
Kabla ya siku ya tukio siku moja kabla alikuja rafiki angu saa moja jioni hadi usiku wa saa tatu akaondoka.
Nyumba ya jirani kuna vijana watatu ambao ni ndugu zangu.
Kumbuka sikuwa natoka hawa ndio waliniona siku hiyo natoka.
Wa kwanza aliniona natoka kimuonekano,alijua natoka.
Wa pili alijua natoka,alijua ninakokwenda tulitakiwa tutoke wote ila ila alidai anaumwa toka asubuhi.
Wa tatu alijua natoka na aliniona hadi napanda hiace kabisa.
Huyu ninayelala nae pia alijua natoka na ninakoenda ila yeye wiki hiyo yote mpaka leo alikuwa anatoka asubuhi na kurudi usiku.
Usimsahau mgeni wa siku moja kabla ya tukio.
NANI MUHISIWA HAPO KATIKA MAZINGIRA HAYO.
Umdhaniaye siye!!!Anayeumwa Tangu asubuhi
Yapaswa kujipa muda wa kuupata ukweli. Kosa moja litkufanya usononeke maisha yako yote kwa kumsingizia mtu.Hapo sasa hata kwenda kumkagua rafiki yangu napata shida
Pole sana mkuu.Amani na upendo kwa wote.
Nipo naishi kwenye nyumba nzima,natumia upande wa mmoja wa nyumba nalala na kijana mwezangu.
Ni wiki yote sikuwa mtu wa kwenda mbali na hapa ninapoishi.
Siku niliyotoka tu ndio siku niliyoibiwa,laptop na baadhi ya nguo.
Kabla ya siku ya tukio siku moja kabla alikuja rafiki angu saa moja jioni hadi usiku wa saa tatu akaondoka.
Nyumba ya jirani kuna vijana watatu ambao ni ndugu zangu.
Kumbuka sikuwa natoka hawa ndio waliniona siku hiyo natoka.
Wa kwanza aliniona natoka kimuonekano,alijua natoka.
Wa pili alijua natoka,alijua ninakokwenda tulitakiwa tutoke wote ila ila alidai anaumwa toka asubuhi.
Wa tatu alijua natoka na aliniona hadi napanda hiace kabisa.
Huyu ninayelala nae pia alijua natoka na ninakoenda ila yeye wiki hiyo yote mpaka leo alikuwa anatoka asubuhi na kurudi usiku.
Usimsahau mgeni wa siku moja kabla ya tukio.
NANI MUHISIWA HAPO KATIKA MAZINGIRA HAYO.
Inaeza saidia nitaleta mrejesho hapaChukua unga wa ugali changanya na maji hakikisha hawajui hao ndugu zako..waite wote waambie kama wewe ndo umeniibia ukinywa haya maji utakuwa kichaa.[emoji23][emoji23]
Anza kunywa wewe waakikishie hujaweka sumu.alafu wape mmoja baada ya mwingine.
Atajitaja tuu...
Mkuu kwa mchanganyiko huu kweli mtu hataenda haja laini laini kweli?!Chukua unga wa ugali changanya na maji hakikisha hawajui hao ndugu zako..waite wote waambie kama wewe ndo umeniibia ukinywa haya maji utakuwa kichaa.[emoji23][emoji23]
Anza kunywa wewe waakikishie hujaweka sumu.alafu wape mmoja baada ya mwingine.
Atajitaja tuu...
Mkuu kwa mchanganyiko huu kweli mtu hataenda haja laini laini kweli?!
Inaeza saidia nitaleta mrejesho hapa
Hahahahaaa hii Kali sana nakumbuka ziliwah potea hela home mzee akamfata mzee mwenzake, yule mzee akajitambulisha kua n mganga ndelee asee akachukua maji ya baridi akaweka kweny besen kisha akawekamo dawa ya unga flan afu akayanawa kama anaetaka kula vilee. Akatuambia na nyie kila mmoja wenu anawe humo, hayo n maji ya baridi lakini alie iba akinawa humo lazima aungie vibaya sana.......... Mwizi alijitaja [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Chukua unga wa ugali changanya na maji hakikisha hawajui hao ndugu zako..waite wote waambie kama wewe ndo umeniibia ukinywa haya maji utakuwa kichaa.[emoji23][emoji23]
Anza kunywa wewe waakikishie hujaweka sumu.alafu wape mmoja baada ya mwingine.
Atajitaja tuu...