BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,196
- 14,371
Aiseee..Kwa ufupi ni kuwa awamu ya sita tumepigwa
huo ndio uhalisia.Kupitia Observation.
Ziara nyingi za Awamu ya tano zilikuwa za kuweka majiwe ya msingi na uzinduzi wa miradi.
Ziara nyingi za Awamu ya sita ni mikutano na matamasha.
Au nyie bado hamjagundua kinachoendelea
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
hakuna hata wanachokifanya, tuwe wakweli. kipi kipya wamekianzisha zaidi ya DP WORLD?Kwa ufupi ni kuwa awamu ya sita tumepigwa
Do nothing Mkuu tuwaachie awamu ya sita..Kwahiyo tukusaidie nini au sisi tufanyaje sasa?
Inategemeana na utamaduni wa kiongozi aliyepo madarakani. Kuna wanaona kucheza Ngoma ni maendeleo na kuna wanaona kufanya kazi ni maendeleo. Sasa inategemea tupo kwenye awamu ipiKupitia Observation.
Ziara nyingi za Awamu ya tano zilikuwa za kuweka majiwe ya msingi na uzinduzi wa miradi.
Ziara nyingi za Awamu ya sita ni mikutano na matamasha.
Au nyie bado hamjagundua kinachoendelea
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Tofauti nyingine ni kuwa awamu ya tano walikuwa wanazindua moradi mara mbili mbili.Kupitia Observation.
Ziara nyingi za Awamu ya tano zilikuwa za kuweka majiwe ya msingi na uzinduzi wa miradi.
Ziara nyingi za Awamu ya sita ni mikutano na matamasha.
Au nyie bado hamjagundua kinachoendelea
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Sasa atazindua mradi gani aliouanzisha? Machawa wake yanatangaza miradi ya kusadikika eti kazindua mahospitali, vituo vya afya, kajenga madarasa, ..blahblah nyingi! Hivyo vitu ni negligible na vilikuwepo tayari na miradi kama hiyo hiko ngazi za Halmashauri! Hela yake ni ndogo kiasi mwenge wa uhuru ndo unazindua miradi kama hii! Sasa rais eti azindue madarasa wapi na wapi?Kupitia Observation.
Ziara nyingi za Awamu ya tano zilikuwa za kuweka majiwe ya msingi na uzinduzi wa miradi.
Ziara nyingi za Awamu ya sita ni mikutano na matamasha.
Au nyie bado hamjagundua kinachoendelea
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Posho mkuuKupitia Observation.
Ziara nyingi za Awamu ya tano zilikuwa za kuweka majiwe ya msingi na uzinduzi wa miradi.
Ziara nyingi za Awamu ya sita ni mikutano na matamasha.
Au nyie bado hamjagundua kinachoendelea
Kwa vile wanatuona Nyani basi Mimi ni Nyani Mpole.
Bila kusahau kuunga mkono royal tour! Sasa hivi hiyo ndio habari ya mjini. Watu wanafanya tour za ndani na nje ya nchi kuunga mkono juhudi za mama! Nchi imerudi mahala pakeKupitia Observation.