Nani Mwenye Uwezo Wakutoa iCloud za iPhone's??

Kalibunii..
Icloud inatoka na kuna two methods. Kuna Express na normal ambapo express ni ndani ya 72hrs while normal ni ndani ya cku 7 na kuendelea na bei ya express ni too expensive. Operations zote ni server based. Clean imei huwa ina possibility kubwa na hata time huwa friendly but blacklisted au Lost imei huwa ina high costs. Gharama ni kuanzia 80$ na kuendelea kutegemea na aina ya cmu na hufika hadi 250$.
 
Oky mkuu nimekupataaa.
 
Back
Top Bottom