Nani Mtani Jembe: Simba Vs Yanga

Timu apewe Minziro bwana, huyu Maximo uwezo wake mdogo sana
 
Kitenge ni Simba damu!

Kitenge ni Simba?? Mbona anapenda sana kuipamba Yanga! Toka yuko redio one alikuwa akiongea mambo ya yanga anashindwa kabisa kuficha mahaba. Labda!! Ila kwa ninavyomsikiaga akiongea kuhusu simba au yanga, huwa anaonyesha mahaba makubwa sana kwa yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…