S said jaffary Member Joined Aug 31, 2012 Posts 8 Reaction score 2 Sep 4, 2012 #1 Kuna mume na mke walikuwa wamelala pamoja usingizi mara mkewe akashtuka usingizini na kusema mume huyo anagonga mlangoni, mume kusikia hivyo akakurupuka na kuruka kupitia dirishani na kutokomea. wadau nawauliza yupi msaliti kati yao?
Kuna mume na mke walikuwa wamelala pamoja usingizi mara mkewe akashtuka usingizini na kusema mume huyo anagonga mlangoni, mume kusikia hivyo akakurupuka na kuruka kupitia dirishani na kutokomea. wadau nawauliza yupi msaliti kati yao?
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Sep 4, 2012 #2 Hapo mbwa kala mbwa!
M MTENDAHAKI JF-Expert Member Joined Mar 3, 2011 Posts 4,013 Reaction score 1,448 Sep 6, 2012 #5 wamekutana vicheche tupu!ngoma droo!