Nani mmiriki wa Ngurudoto?

Mkuu huyu ni mtu mbaya sana tena ni mnafik na anahusda kali sana tena mtu kama huyu basi huwa si wakujuwana au urafiki ni bora ujetenge nai mbali na hautakuwa na maisha mazuri kwa hiyo hulka ya kibedui
 
Mzee mkapa, mzeee aliyeokoa tanzania kushuka zaidi kiuchumi, mzee mwenye tumbo kuliko maraisi wote hapa tanzania, mzee mwenye vision kubwa kuliko wote ni raisi wa awamu ya tatu, mrema wa impala pale kivuli tu kama alivyo hapo impala
 



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…